BONYEZA HAPA KUONA MATOKEO DARASA LA SABA 2022

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), limetangaza matokeo ya darasa la saba ya mwaka huu likisema watahiniwa zaidi ya 1.07 milioni kati ya 1.34 milioni wenye matokeo sawa na asilimia 79.62 wamefaulu kwa kupata madaraja A na B na C. Bonyeza hapa kuona Matokeo Darasa la Saba 2022… https://matokeo.necta.go.tz/psle2022/psle.htm Kati ya hao wasichana ni 558,825 ambao